Romans 2:5-6

5 aLakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa. 6 bKwa maana Mungu atamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.
Copyright information for SwhKC